Tatizo la joto kali sehemu za siri

Tatizo limeanza lini? wakati huo ulikua na uzito kiasi gani na urefu kiasi gani? Tuanzie hapo
 
Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.

Madhara yake ni nini?
Asanteni
.. hilo 'tatizo' limeanza lini? je umeolewa? kama umeolewa mwenzako/ anasemaje khs hilo? n muda gan ambao huwa moto ni mkali sana?

... ntarud baada ya kupata majib hayo.
 
naomba nije na kabamia kangu nishushe hako kajoto,natania tu mjomba
 
.. hilo 'tatizo' limeanza lini? je umeolewa? kama umeolewa mwenzako/ anasemaje khs hilo? n muda gan ambao huwa moto ni mkali sana?

... ntarud baada ya kupata majib hayo.
.. hilo 'tatizo' limeanza lini? je umeolewa? kama umeolewa mwenzako/ anasemaje khs hilo? n muda gan ambao huwa moto ni mkali sana?

... ntarud baada ya kupata majib hayo.
UNAMTAKA?
 
Inabidi uende mji wa Kumamoto Japan labda utapata jibu ya swali lako teh teh teh
 
Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.

Madhara yake ni nini?
Asanteni
hiyo siyo shida kubwa mwambie mr wako akikuelewa hilo tatizo litakuwa faida kwako na kwake.
 
[emoji23]
 
itakuwa tamu hiyo kitu balaa ukipampu mara mbili tu unekojoa
 
Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.

Madhara yake ni nini?
Asanteni
Nna rafiki yangu aliwah kunambia ana Tatizo fulan hiv kiukwel sikulifaham, Ni kwmba anadai kuna muda korodan zinakua na miwasho inayopelekea badae kama malenge malenge hv, ila badae yanatoweka, sasa mm nlimwambia labda sababu Ni Joto sehem za siri, mtoa mada umenikumbisha hapo

Naomba namimi kujua kutoka kwenu, Nini sababu ya Tatzo hilo hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…