Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]iyo dalili ya kuwepo volcano
.. hilo 'tatizo' limeanza lini? je umeolewa? kama umeolewa mwenzako/ anasemaje khs hilo? n muda gan ambao huwa moto ni mkali sana?Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.
Madhara yake ni nini?
Asanteni
ni nyingi ndio sasa nifanyeje? uzito ndo unachangia huku chini kuwe na moto ?
.. hilo 'tatizo' limeanza lini? je umeolewa? kama umeolewa mwenzako/ anasemaje khs hilo? n muda gan ambao huwa moto ni mkali sana?
... ntarud baada ya kupata majib hayo.
UNAMTAKA?.. hilo 'tatizo' limeanza lini? je umeolewa? kama umeolewa mwenzako/ anasemaje khs hilo? n muda gan ambao huwa moto ni mkali sana?
... ntarud baada ya kupata majib hayo.
hiyo siyo shida kubwa mwambie mr wako akikuelewa hilo tatizo litakuwa faida kwako na kwake.Naombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.
Madhara yake ni nini?
Asanteni
Siwezi kuongelea hapa, niPM
Kwa comments hizo juu, hakuna hata wa kumfaidisha.Jitahidi uweke hapa kwa faida ya wengi
[emoji23]Mmmh! High tempeprature? Huo ndio utamu wenyewe... Mwanamke mwenye 'tatizo' kama hilo ni ngumu sana kuachwa na mwanaume...
Other wise hiyo pia inaweza ikawa symptom ya nyg kali zilizozidi kipimo cha kawaida.
Suluhisho ni kuolewa tu na kuwa na uhakika wa 'cooling system' ya kushusha temperature...
Nope, tupo.. Hayo mengine usiyawazie kawaida, kwenye weni pana mengiKwa comments hizo juu, hakuna hata wa kumfaidisha.
I wish, ila acha tu yatazidi kua makubwa,Nope, tupo.. Hayo mengine usiyawazie kawaida, kwenye weni pana mengi
Nna rafiki yangu aliwah kunambia ana Tatizo fulan hiv kiukwel sikulifaham, Ni kwmba anadai kuna muda korodan zinakua na miwasho inayopelekea badae kama malenge malenge hv, ila badae yanatoweka, sasa mm nlimwambia labda sababu Ni Joto sehem za siri, mtoa mada umenikumbisha hapoNaombeni msaada nini kinasababisha sehemu za siri mwanamke kuwa na moto sana?
na hakuna ugonjwa wowote.
Madhara yake ni nini?
Asanteni