Tatizo la kende kuuma

Tatizo la kende kuuma

omarion5

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
5,206
Reaction score
17,683
Wakuu habari zenu

Ni siku mbili sasa tangu tatizo hilo linipate nimekosa laha kabisa. Awali ya yote juzi kabla ya kukumbwa na maswaibu hayo nilikutana na rafiki yangu wa kike(girl friend wangu) nilipojaribu kumwomba mchezo alikataa nilimlazimisha kwa kumshika shika sehemu zake nyeti lakini alikataa baada ya hapo kende zilikuwa zikiuma sana tatizo nini?

Natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume akierect kwa muda mrefu zaidi na bila kupata kipozeo lazima misuri ya pumbu iume sana tu. Inaonekana we ni mwanafunzi wa sekondari umeenza juzi juzi tu hunaexperience ya kutosha ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom