Tatizo la Kibabage ni jina lake, atafutiwe a.k.a huwezi kuitwa Kibabage ukawa star

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita.

Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani.

Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui

Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
 
Tatizo kubwa la kibabage hana positional awareness kabisa... kuna siku sijui mechi gani yaani utasema anacheza namba 11 kwa anavyopenda kupanda kushambulia alafu harudi kukaba.... sijawahi pia kuona amepiga krosi ikafanikiwa kufika kwenye 18
 
Ni kama kitoto kina kimbia kimbia uwanjani yani icho na Aziz ki wakianza pamoja hesabu ni mpo pungufu watu wawili
 
Ungesema aongeze juhudi hapo ingekua sawa jina halisaidii chochote
 
Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita.

Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani.

Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui

Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
Mule hakuna mchezaji
 
Back
Top Bottom