Ni kama kitoto kina kimbia kimbia uwanjani yani icho na Aziz ki wakianza pamoja hesabu ni mpo pungufu watu wawiliTatizo kubwa la kibabage hana positional awareness kabisa... kuna siku sijui mechi gani yaani utasema anacheza namba 11 kwa anavyopenda kupanda kushambulia alafu harudi kukaba.... sijawahi pia kuona amepiga krosi ikafanikiwa kufika kwenye 18
Mule hakuna mchezajiKimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita.
Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani.
Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui
Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha