Wadau mimi nina tatzo la kujisikia kichef chef, nalegea na moyo kwenda mbio mara kwa mara.. nimepima vipimo vyote cna tatzo lolote!!! Sasa hiv takriban miez mi3 mfululizo nateka sn... plz naomben ushaur wenu... Asanten sn.