Tatizo la Kichefchef

Tatizo la Kichefchef

Kijinga

Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
82
Reaction score
15
Wadau mimi nina tatzo la kujisikia kichef chef, nalegea na moyo kwenda mbio mara kwa mara.. nimepima vipimo vyote cna tatzo lolote!!! Sasa hiv takriban miez mi3 mfululizo nateka sn... plz naomben ushaur wenu... Asanten sn.
 
Pole sana nione mimi nina dawa ya kutibu hayo maradhi yako ukinitaka bonyeza hapa.
Mawasiliano
 
pata bangi 3 puff,kichefchefu kwisha
 
Samahani wewe unaejisikia kichefuchefu ni wa jinsia ya me au ke? Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom