Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani
yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na
mstuko wa moyo.
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si
vibaya. Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.
Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili
na binzari(spices) kwa wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimengenyui sawasawa linachoka.
Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku.
Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo.
Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia
mzunguko wa damu mwilini.
Hasa kama hunywi maji.

- Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
- Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
- Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
- Umeinama au umelala
- Ukishakula chakula