kibovu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 702
- 759
Ndugu wana jamvi naombeni msaada wenu wa mawazo kwani rafiki yangu ana tatizo la kichwa cha uume wake umekuwa umebabuka kama kidonda kinachoelekea kupona na limempata yapata mwezi sasa tatizo hili amekuwa akipaka maji linarudi vzr baada ya dakika kumi hurudi hali ya kawaida .Ameenda hospital amepewa dawa za tube za kupaka lakini matokeo imesaidia kwa kiasi kidogo sana
Naombeni msaada wa mawazo kwa sababu naamini jamiii forum kuna watu wenye uwezo mkubwa na mungu awabariki
Asante
Naombeni msaada wa mawazo kwa sababu naamini jamiii forum kuna watu wenye uwezo mkubwa na mungu awabariki
Asante