shalolizo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 336
- 203
Habarini wataalam wa afya,,nimejitokeza hapa kuja kuomba ushauri wa kitaalam kuhusu tatizo la kifua,nasumbuliwa na kifua kukohoa kwa muda mrefu na muda mwingine huwa kuna kimruzi flani hivi kinatoka,nimeshaenda kwa dokta mmoja hivi aliniambia kuna tatizo kwenye njia ya upumuaji akanipa dawa kukitulia lakini kimeanza tena,,Naomba ushauri wenu