Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Si sahii....vipi kama ukitumia meshwire kwenye kufunga mkanda wa msingi badala ya nondo kwenye ardhi ya udongo wa mfinyanzi?
je msingi utakuwa imara kama mtu aliyetumia nondo?
Waya mesho ziende sanjali na nondo lakini ni kama unamwaga jamvi plain Eneo kubwa ila sio kwa msingi.vipi kama ukitumia meshwire kwenye kufunga mkanda wa msingi badala ya nondo kwenye ardhi ya udongo wa mfinyanzi?
je msingi utakuwa imara kama mtu aliyetumia nondo?
Unamaanisha nini unaposema juu uweke 12mm na chini uweke 10mm kwenye plinth beam?Waya mesho ziende sanjali na nondo lakini ni kama unamwaga jamvi plain Eneo kubwa ila sio kwa msingi.
Funga plinth beam ya nondo za mm 12 juu na 10 chini afu zufunge kwa nondo za mm 8 kwa spacing ya 30cm au chini ya hiyo.
Kina cha zege uwe 20cm au isipungue 15cm ,ukizingatia mchanganyo kwa ratio ya grade 25 au 20 na umwage maji ya kutosha kwa siku 7 asubuh na jioni utakuwa umeimarisha msingi na hakuna tatizo lolote tena
Asante sana mkuuWaya mesho ziende sanjali na nondo lakini ni kama unamwaga jamvi plain Eneo kubwa ila sio kwa msingi.
Funga plinth beam ya nondo za mm 12 juu na 10 chini afu zufunge kwa nondo za mm 8 kwa spacing ya 30cm au chini ya hiyo.
Kina cha zege uwe 20cm au isipungue 15cm ,ukizingatia mchanganyo kwa ratio ya grade 25 au 20 na umwage maji ya kutosha kwa siku 7 asubuh na jioni utakuwa umeimarisha msingi na hakuna tatizo lolote tena
Typing error ni 12mm bottom vs 10mm top bars,,asante kwa ku note hiyo errorUnamaanisha nini unaposema juu uweke 12mm na chini uweke 10mm kwenye plinth beam?
Sio kwamba nondo za chini ndio zinatakiwa ziwe kubwa kuliko za juu?
Kwani Graduate hawezi kuwa na uzoefu wa site??Ka diploma ndio nini mkuu,aisee bora utafute diploma holder anauzoefu wa changamoto za site kuliko graduate wa makaratasi
Nyumba za kawaida sio ghorofa haxihitaji injinia yeyote hapo
Inategemea anaetumia mda mwingi siteKwani Graduate hawezi kuwa na uzoefu wa site??
Option hii ni hasara mkuu, kwanza, ujenzi wa kitanzania hakuna anayechimba hadi kuikuta layer ngumu labda majengo ya Serikali. Layer ngumu unaweza kuikuta mita moja chini! Ina maana huo msingi pekee hadi uchomoze nje ya ardhi kwa tofari nne si utakuwa na kozi 15! Too expensive! Mi naona options rahisi na bora ni kujaza kifusi kwenye uwanja wa nyumba yake kwa kuhakikisha kozi tatu zinazama chini ya ardhi. That is simple. Tunajenga nyumba za kudumu miaka 50 hadi 70 na sio za kudumu milele.basi brother tambua huwa hakuna mbadala wa msingi wa nyumba, msingi ndio nyumba yenyewe, kwa hiyo namna pekee ni wewe kukubali hasara ila usikubali kupata hasara zaidi kwa kutafuta mbadala wa kuacha kuchimba upya msingi wa nyumba yako.
Ushauri uliopewa wa kuzungusha tofali nyingine nje hautokusaidia maana hauna uhakika hata kitako kilichopo sasa kwenye hizo tofali sita kitaweza kuhimili jengo, asee nyumba ni kitu kingine mkuu! tofali unazoshauriwa uzizungushe hazitabeba uzito wa nyumba bali zitazuia tu erosion , chimba msingi kwenda chini upate layer ngumu ndipo ujenge msingi wako wa nyumba. Ni kheri uchelewe ufike kuliko kuharakisha alafu usifike unakokwenda.
Kila la kheri
Kiongozi hapo hakuna msingi, suluhisho ni kubomoa kama bado hujabomoa, utakuja angusha nyumba uingie gharama mara mbili. hicho kilichofanyika hakina sifa ya kuitwa msingi. Sijui kama uliemtumia ni fundi kweli au janja janja.Fundi anae jielewa asingeruhusu hicho kilichofanyika kitokee.Habari za humu jamvini waheshimiwa.
Nawapongeza sana kwa uwepo wenu kwenye jukwaa hili muhimu.
Mada:
Mimi nilifanya tathmini ya gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, sehemu ya chakula, jiko na choo.
Na tukaafikiana vizuri na fundi.
Nikapambana kununua materials zote ili kuanza ujenzi.
Siku ya kuanza ujenzi nikapatwa na safari ya dharura, nikamwachia mdogo wangu asimamie usalama wa vifaa na kuwalipa mafundi.
Kazi ikafanyika, baada ya wiki moja ikakamilika.
Changamoto niliyoibaini baada ya kurejea ni kwamba,
Mafundi wamejenga msingi ambao umeinuka sana juu, Ila haujaenda chini.
Kwenye msingi wa jumla ya kozi sita (6),
Chini imeenda tofali moja tu, halafu tano zote zimekuja juu.
Hata kama ardhi ni tambarare,
Je, hii haina madhara kwa nyumba waheshimiwa?
Na kama yapo, kuna namna m'badala ya kuiimarisha nyumba?
NB: Bado sijainua boma.
Unamwaga zege 230mm thick then unapandisha tofali za 6 inch hizi huwa kwenye msingi zinalazwa 1.0 m high then unaweza funga ka mkanda kazege lenye nondo 200mm thick, unajaza kifusi hapo unakuwa umemalizana na msingi.Vipi uki mwaga mchanga + zege juu ktk arshi ya mfinyanzi ..msingi unakuwa imara zaidi bila shaka
Au sio unawapa ujumbe gani wale wanao nunua nyumba kali kwa bei chee [emoji16][emoji16][emoji16]Option hii ni hasara mkuu, kwanza, ujenzi wa kitanzania hakuna anayechimba hadi kuikuta layer ngumu labda majengo ya Serikali. Layer ngumu unaweza kuikuta mita moja chini! Ina maana huo msingi pekee hadi uchomoze nje ya ardhi kwa tofari nne si utakuwa na kozi 15! Too expensive! Mi naona options rahisi na bora ni kujaza kifusi kwenye uwanja wa nyumba yake kwa kuhakikisha kozi tatu zinazama chini ya ardhi. That is simple. Tunajenga nyumba za kudumu miaka 50 hadi 70 na sio za kudumu milele.