proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi mwenyewe kanileta mbio mbio kumbe hamna kituHeading kama vile unajua Kitu flani! Sa Sijui ulikuwa unamdanganya nani!
Labda kama tatizo baya unajaribu kulifuta halafu linaganda akilini.Labda mpaka uwe na dementia ndo utakua unasahau na kupoteza.kumbukumbu kwa ujumla.
Lkn unakula vzuri, unakunywa maji yanatiririka mpaka kuchan kwako, afya bombaaaa kabisaaaa aaahhh Mzeee baba Ikitokea Umesahau basi una tatizo.
Kumbukumbuku yoyote mbaya au nzuri dawa yake nikujifunza kuishi nayo tuu,.kama nimbaya jifunze isikuumize ,nakm ninzuri jifunze ikupe furaha.
Ego defensive mechanism.Toa nafasi kwa muda ufanye kazi utasahau (kutokana na haina ya kumbukumbu unayotaka sahau)
Tumia mbinu za defence mechanism zitakusaidia lkn kila mbinu zinatafaa kulingana jambo unataka lisahau
Licha ya ivo umeelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi mwenyewe kanileta mbio mbio kumbe hamna kitu
Sijaelewa chochoteLicha ya ivo umeelewa
Sio kudanganyaHeading kama vile unajua Kitu flani! Sa Sijui ulikuwa unamdanganya nani!
YanachoshaKwa nini Unataka usahau matukio