Tatizo la kisaikolojia namna ya kusahau jambo

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
6,814
Reaction score
10,104
Katika mizunguko ya dunia hii huwa tunakumbana na matatizo mengi yanayoumiza moyo na ubongo

Kwa mfano kufiwa na mtu wakaribu; kufukuzwa kazi 'shule kukamatwa na kufungwa kwa sababu mbalimbali ; kugombana na mtu anaekutafuta
Masuala ya uchawi kama kulogwa japokua halithibitiki kisayansi
Kuingiwa na hofu na wasiwasi kuhusu maisha.

Msaada wa kusahau matukio yalio kusibu.asante
 
Labda mpaka uwe na dementia ndo utakua unasahau na kupoteza.kumbukumbu kwa ujumla.

Lkn unakula vzuri, unakunywa maji yanatiririka mpaka kuchan kwako, afya bombaaaa kabisaaaa aaahhh Mzeee baba Ikitokea Umesahau basi una tatizo.

Kumbukumbuku yoyote mbaya au nzuri dawa yake nikujifunza kuishi nayo tuu,.kama nimbaya jifunze isikuumize ,nakm ninzuri jifunze ikupe furaha.
 
Toa nafasi kwa muda ufanye kazi utasahau (kutokana na haina ya kumbukumbu unayotaka sahau)

Tumia mbinu za defence mechanism zitakusaidia lkn kila mbinu zinatafaa kulingana jambo unataka lisahau
 
Labda kama tatizo baya unajaribu kulifuta halafu linaganda akilini.
 
Toa nafasi kwa muda ufanye kazi utasahau (kutokana na haina ya kumbukumbu unayotaka sahau)

Tumia mbinu za defence mechanism zitakusaidia lkn kila mbinu zinatafaa kulingana jambo unataka lisahau
Ego defensive mechanism.
 
Back
Top Bottom