Inaelekea hakuuliza wala hakuambiwa, that's y kaja kuuliza hapa..Kama ulienda hospital walikuwambia nn(ugonjwa gani)
Mlimpeleka hospitali gani? Mnaishi wapi?Hospitali walimuuliza mama kuhusu kitovu wakati angali mtoto, mama anasema kilisumbua kufunga ila baadae kilionekana kupona