colours
Member
- Jan 4, 2015
- 70
- 14
Mdogo wangu wa ni wa kike ana umri wa miaka 25 na ana mtoto mmoja mwenye miaka 4.
Amekua akilalamika maumivu ya kitovu kwa muda mrefu, nimeshangaa juzi kuona anavuja damu kutoka kwenye kitovu tena kikiwa kimevimba kiasi.
Tumeenda hospitali, wamekichana, wakakifunga kile kidonda. Sasa bado kinavuja damu na kuna muda kinatoa maji.
Je huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini? Na unaweza kutibika vipi?