Hii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeniMwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
View attachment 3053822View attachment 3053823
Unaijua Nchi ya Vietnam?Hii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni
Huoni hiyo ni sawa na kubet, mpe mtu mmoja all the powers then hope hato abuse hayo mamlaka? huoni itapelekea state capture? When kiongoz hajui when anatoa orders kwa chama au kwa nchi?Unaijua Nchi ya Vietnam?
Wamemuua Katibu mkuu wa chama Majuzi na kumpa Rais wao aikaimu hiyo nafasi, kwa sababu licha ya kuwa na Rais ila kwenye nchi ya Kijamaa Kiongozi mkuu wa Chama ndio mkuu wa Nchi(De facto) na Majeshi (Majeshi huwa ni ya Chama).
Logic ya Rais kuwa mkuu wa Chama ni kumpa nguvu na uhuru wa kutekeleza kazi yake, Imagine Kungekuwa kuna mwenyekiti na Rais tofatuti akina Nape wangekuwa na nguvu kiasi gani?
Hayo mambo yalikuwa ya enzi ya chama kimoja na hawataki kuelewa.Huoni hiyo ni sawa na kubet, mpe mtu mmoja all the powers then hope hato abuse hayo mamlaka? huoni itapelekea state capture? When kiongoz hajui when anatoa orders kwa chama au kwa nchi?
Kofia mbili.....moja ya ukweli moja ya uongoMwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
View attachment 3053822View attachment 3053823
Ccm nguvu yake iko serikalini.......kimantiki ccm bila dola ni sawa na TADEA au UDPHii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni
Kabisa, ndio maana hata shughuli za kichama zinatumia rasilimali za Umma kitu ambacho sio sahihi.Hii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni
we need miaka 100 tukiwa na katiba mpya kuunda mifumo kama Uingereza na MarekaniHuoni hiyo ni sawa na kubet, mpe mtu mmoja all the powers then hope hato abuse hayo mamlaka? huoni itapelekea state capture? When kiongoz hajui when anatoa orders kwa chama au kwa nchi?
I think kwa speed hii we need more than that, na vizazi viwili zaidiwe need miaka 100 tukiwa na katiba mpya kuunda mifumo kama Uingereza na Marekani
ccm hawawezi kukubaliHii kitu kikatiba inatakiwa itenganishwe, kuna wakati unaona kabisa kiongozi hajui kama ana hutubia chama au taifa, kuwe na sheria tu ukiwa mkuu wa nchi ukuu wa chama pembeni