Tatizo la ku-log in profile ya TCU

Tatizo la ku-log in profile ya TCU

TULAFUZILWE

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
31
Reaction score
2
Jamani naomben kujua tatizo la kufail kulogin kwenye login form ya TCU linatokana na nini maana najarib kulogin lakin inafail.
 
Jamani naomben kujua tatizo la kufail kulogin kwenye login form ya TCU linatokana na nini maana najarib kulogin lakin inafail.

kama unatumia browser ya mozilla firefox jaribu njia hizi:

mosi: futa RECENT HISTORY na urudi ujaribu ku log in au

pili: nenda TOOLS > OPTIONS > PRIVACY > badili Remember History iwe Use CUSTOM SETTINGS FOR HISTORY > OK. rudi ita TCU au CAS u log in

Jaribu hivyo. Ikishindikana omba ubadilishiwe PW. aidha hakikisha user name ina / na sio dot
 
No co kweli...la msingi tumia password 123456....itafunguka kama kweli inasema "login failed"
 
firefox kwenye baadh ya pc ni shida chakufanya tumia internet explor haizingui... pia hata chrome huwa inazingua ...so fanya ivo mambo yatakua poa
 
Back
Top Bottom