Tatizo la kuahirisha mambo

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558
Habari wanaJF,

Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mwishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilichofanya leo. Hili ni tatizo toka utotoni na huenda ningekuwa nimefanya makubwa mengi nisingekuwa na hii tabia.

Nimejaribu sana kuishinda ila utakuta nafanikisha kwa miezi kadhaa tu baada ya hapo narudi kwenye cycle hii hii. Nimeangalia videos mbalimbali YouTube kushinda procrastination ila nitazitumia kwa muda tu halafu hali inarudi kama mwanzo. Kwa mwenye tatizo kama langu jua haupo peke yako.

Mwenye uzoefu na njia thabiti ya kushinda hii kitu naomba msaada.
 
Kuwa na malengo ambayo hayana deadline, unachofanya hapa haufatishi deadline Ila unafatisha RATIBA.

Mfano ulipanga kufungua duka usiweke deadline ya kufikia hiyo hatua Ila kuwa na ratiba schedule.

Then kuwa na mfumo Wa kudaiwa.

Hata Kama hauna familia mke au mtoto jifanye Una majukumu na unategewa hivyo assume kuna watu wanakusubiri utoe matokeo. Ili Ada zilipwe na chakula kipatikane hii itakuweka on truck.

Apply hizo mbibu mbili kwanza.

Goals without deadline but schedule.

Assume that there's someone who need something great from you like wife, kids, parents, boss and etc

Train ur mind procrastination is dream killer.
 
Thanks for your advice mkuu, ntaufanyia kazi.
 
Iyo tabia ndio wewe, ukitaka kuishinda nilazima ujishinde mwenyewe,,,
Acha uvivu, acha kujionea huruma, weka mipango, fanya sawasawa na mipango uliyo weka(nidham)
Hii ni toxic mentality mkuu, tatizo sio uvivu kama ulivyo elewa.
 
I'll take this 🙏
 
Stop telling peole abt what u want to do.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…