PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Kapime minyoo
Aisee ni minyoo tu hapa hamna jipya...........
hapo umempa kibarua kingine hahahahahahahsijui kama atawezaPata albendazole na pia uwe unaswaki kabla ya kulala
Haaahaaaahaaa! Mtu mzima kuambiwa uweke kinyesi kwenye kibiriti ni bonge la nishai.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums