Tatizo la kuamka asubuhi mdomo umejaa mate

Tatizo la kuamka asubuhi mdomo umejaa mate

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Bandugu naombeni kujua, kip kinasababisha tatizo la mate kujaa mdomo usuku unapoamka unakuta mdomo umejaa mate. nifamishen plz wataalamu
 
Haaahaaaahaaa! Mtu mzima kuambiwa uweke kinyesi kwenye kibiriti ni bonge la nishai.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mfisha maradhi mauti humuumbua, ndugu yanguakiiacha hiyo badae ni hatari kwake na kuna wengine minyoo inatoka mdomoni kwa njia kutapika na kama sio puani wataalam watanisaidia kuelezea inakuwaje minyoo kutokea mdomoni.
 
Wakubwa naomben msaada kila asubuhi nikiamka mate huwa yananijaa mdomoni nin hasa tatizo
 
Back
Top Bottom