Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Habari wanaJF
Hivi karibu nlienda Moshi safari kikazi nikakaa wiki maji niliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picha.
Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu toka nimeenda na mpaka unavyosoma hii thread.
Nlmwenye ujuzi wa hili tatizo na dawa yake plz. Ishakuwa issue sasa