miss mwanjelwa
Member
- Sep 4, 2016
- 62
- 42
Habari wadau, sorry kwa anaefahamu dawa ya kifua kubana sana hadi kushindwa kupumua na kutoa sauti Kama filimbi. Msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau, sorry kwa anaefahamu dawa ya kifua kubana sana hadi kushindwa kupumua na kutoa sauti Kama filimbi. Msaada[/QUOTES
Aina ya pumu
Wahi hospital
Upo wapi??Kama Dar nenda kwa Dr Issaya anapatika mbagala mission kwa burudaHabari wadau, sorry kwa anaefahamu dawa ya kifua kubana sana hadi kushindwa kupumua na kutoa sauti Kama filimbi. Msaada
Hahahaha haya.Dawa ni kua mlinzi tu....filimbi si unayo tayari[emoji41]
Nipo kagera.Upo wapi??Kama Dar nenda kwa Dr Issaya anapatika mbagala mission kwa buruda
Nicheck whatsup kwa msaaada wa tatizo lako 0714973059 au piga Simu 0742706740
Gluck online clinic[/QUOTE
Haya asante ntakuchek.
Asante ndugu ntakuchek.Nicheck whatsup kwa msaaada wa tatizo lako 0714973059 au piga Simu 0742706740
Gluck online clinic
Pole sana mimi nilitibiwa dispensary hiyo kwa buruda
Nipo kagera.