Tatizo la kubanduka ngozi (skin peeling) mapajani

Tatizo la kubanduka ngozi (skin peeling) mapajani

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
Habari wanaJF
Hivi karibu nlienda moshi safari kikazi nkakaa wiki maji nliyoogea kule ni ya magadi na haikuwa tatizo. Ila baada ya kurudi nawashwa mapajani na tezi dume ikifuatiwa na kubanduka kwa ngozi (peeling) kama inavyoonekana kwenye picja.
Sijadate na mwanamke yeyote wala kula cha mtu toka nimeenda na mpaka unavyosoma hii thread.
Nlmwenye ujuzi wa hilk tatizo na dawa yake plz. Ishakuwa issue sasa
 

Attachments

  • SmartSelect_20220606-074911_Gallery.jpg
    SmartSelect_20220606-074911_Gallery.jpg
    63.9 KB · Views: 43
Hizo ni fungus za ngozi mkuu humo mnamobabuka osha kwa maji mengi 20 liter kwa kutililisha hakikisha ayo mangozi unayatoa wakati wa kusugua jali kupona usijali maumivu wakati wa kuosha jifute vizuri muwe mkavu alafu ukanunua na dawa za fungus za kupaka na kunywa huku ukiwa umezingatia sana kuoshaaa kipindi hiki kuwa makini usipeleke mikono mdomoni utapata fungus za mdomo mana najuwa humo mnawasha utakuwa unajikuna Nawa mikono vizuri unavyokula vitu uwe na kucha fupi
 
Back
Top Bottom