speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
Mwambie huyo Dada wa Rafiki yako aje hapa kutushitakia matatizo yake sio wewe ulete kesi yake hatuwezi kulitatua hili tatizo pasipo na huo mwenyewe mwenye matatizo samahani mwambie aende Hospitali kuna Ma-Daktari wapo wanalipwa mishahara na Serikali kwa kazi hizo za U-Daktari.habari wana jf wote! bila kupoteza muda na kuwachosha ningependa kufahamu nini husababisha mwanamke kutokwa na damu mfululizo hata baada ya bleeding period na nini tiba yake? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu ambaye dada yake amekuwa akisumbuliwa na tatiz ohili kwa takribani miaka mitatu sasa, natanguliza shukrani. i
Mkuu samahani kesi kama hizi huwa mimi sizijibu kabisa . Huyu bibie aliyeweka hii Thread anadai Dada wa rafiki yake yey kaja kumshitakia matatizo yake Kesi kama hiyo mimi huwa siwezi kutoa ushauri wowote akitaka aje hapa anamuogopa nani huyo dada wa rafiki yake?hebu ngoja tuwasikilize wataalam nao wanasemaje, dr. Riwa na wengine bila kumsahau MziziMkavu njooni muokoe jahazi
Mwambie huyo Dada wa Rafiki yako aje hapa kutushitakia matatizo yake sio wewe ulete kesi yake hatuwezi kulitatua hili tatizo pasipo na huo mwenyewe mwenye matatizo samahani mwambie aende Hospitali kuna Ma-Daktari wapo wanalipwa mishahara na Serikali kwa kazi hizo za U-Daktari.
Mkuu samahani kesi kama hizi huwa mimi sizijibu kabisa . Huyu bibie aliyeweka hii Thread anadai Dada wa rafiki yake yey kaja kumshitakia matatizo yake Kesi kama hiyo mimi huwa siwezi kutoa ushauri wowote akitaka aje hapa anamuogopa nani huyo dada wa rafiki yake?
Mwambie aache kutumia dawa za uzazi wa mpango haswa sindano. Aende pharmacy kuna dawa za mambo hayo itaacha, ila itachukua muda mrefu kukata
kufeli kwa mawasiliano kati ya akili na via vya uzazi.(feedback of mechanism),
kulegea kwa vimishipa vidogo dogo vinavyokuwa kwenye ukuta wa mimba, husababisha kushindwa kujikaza.
ila kwa kipindi hiko chote cha miaka 3 aende hospt inaweza kuwa ni dalili ya cancer ya kizazi. (NOTE SI MTAALAMU SANA WA MASUALA YA AFYA AYO NI MAWAZO YANGU, SUBIRI YA WENGINE ZAIDI, KAMA KUNA SEHEMU NIMEKOSEA NAMI PIA NTAJIFUNZA.)
Tuna Maswali yetu tunataka kumuulizamkuu bilashaka nimekuelewa lakini hii nimekutananayo baada ya mimi kufika huku mkoani, na sina hakika kama muhusika n member w jf! Msaada wako wewe utasaidia hata kwa wengine.
Tuna Maswali yetu tunataka kumuuliza
mgonjwa sio wewe tukuulize maswali hayatosaidia kitu ukiweza kuwa nae karibu kisha ufunguwe Thread Mpya ujifanye ni wewe ndie
mwenye hilo tatizo kisha tutakuuliza maswali kisha umuulize huyo mgonjwa maswali akijibu unatujibu sisi Live huo ndio ushauri wangu.
Kwanjia nyingine haitowezekana samahani.Huwezi kwenda kwa Daktari kisha umwambie Eti Doctor rafiki yangu anaumwa na kichwa? Je
huyo Doctor atakujibu kivipi wewe unavyofikiria?