speechless
Senior Member
- Oct 1, 2013
- 101
- 27
habari wana jf wote! bila kupoteza muda na kuwachosha ningependa kufahamu nini husababisha mwanamke kutokwa na damu mfululizo hata baada ya bleeding period na nini tiba yake? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu ambaye dada yake amekuwa akisumbuliwa na tatiz ohili kwa takribani miaka mitatu sasa, natanguliza shukrani. i