Tatizo la kucha kuchimbika

geee kay

Senior Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
112
Reaction score
63
Kucha zangu zinakabiriwa na tatizo la kuchimbika, je ni ugonjwa gan na naweza kuutatua vipi
 
Kucha zangu zinakabiriwa na tatizo la kuchimbika, je ni ugonjwa gan na naweza kuutatua vipi
Kucha kuchimbika ni dalili ya wewe una upungufu wa Vitamin mwilini na jaribu kujichunguza mzee wako wa kiume huenda anayo hayo maradhi ayu babu yako Mzaa baba yako huenda pia anayo hayo maradhi Huenda maradhi ya kurithi kutoka katika familia yenu.Nenda kamuone Daktari Hospitali au kama hutaki kumuona Dakatari kanunuwe Vidonge vya Multi Vitamin uwe unakula kila siku kidonge 1 baada ya kwisha kula kwa muda wa miezi 3 utaweza kupona.
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…