Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kucha kuchimbika ni dalili ya wewe una upungufu wa Vitamin mwilini na jaribu kujichunguza mzee wako wa kiume huenda anayo hayo maradhi ayu babu yako Mzaa baba yako huenda pia anayo hayo maradhi Huenda maradhi ya kurithi kutoka katika familia yenu.Nenda kamuone Daktari Hospitali au kama hutaki kumuona Dakatari kanunuwe Vidonge vya Multi Vitamin uwe unakula kila siku kidonge 1 baada ya kwisha kula kwa muda wa miezi 3 utaweza kupona.Kucha zangu zinakabiriwa na tatizo la kuchimbika, je ni ugonjwa gan na naweza kuutatua vipi![]()
Asante sanaKucha kuchimbika ni dalili ya wewe una upungufu wa Vitamin mwilini na jaribu kujichunguza mzee wako wa kiume huenda anayo hayo maradhi ayu babu yako Mzaa baba yako huenda pia anayo hayo maradhi Huenda maradhi ya kurithi kutoka katika familia yenu.Nenda kamuone Daktari Hospitali au kama hutaki kumuona Dakatari kanunuwe Vidonge vya Multi Vitamin uwe unakula kila siku kidonge 1 baada ya kwisha kula kwa muda wa miezi 3 utaweza kupona.