Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha.
Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo.
Hii siyo sawa Kwa walimu kuchangishwa fedha.
Hata baadhi ya wafanyabiashara pia wanachangishwa. Kimsingi hiyo michango imekaa kifisadi. Kila mwaka huo mwenge umekuwa ukitengewa bajeti ya kuukimbiza.siyo walimu tu.. ni wafanyakazi wa halmashauri
Mpwayungu village njoo huku,sasa naanza kumuelewa jamaa kwamba walimu hawajitambui wanahitaji kukombolewaHili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha.
Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo.
Hii siyo sawa Kwa walimu kuchangishwa fedha.
Unaongea usichokijua.Swala la mwenge ni la kitaifa kila ofc huwa zinakuja barua za kuchagua mwenge unapokuwa kwenye wilaya husika.
Ni tamaduni nadhani.
Kwani ni walimu tu? HALMASHAURI zote chini ya Hawa wakurugenzi wanachangia mwenge, kuanzia wakuu wa Idara hadi watumishi wa ngazi za kawaida.Hili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha.
Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo.
Hii siyo sawa Kwa walimu kuchangishwa fedha.
Hapa Tanganyika watumishi wote walio chini ya mkurugenzi tunamchangia mwenge,siyo walimu tuHili suala la kuchangisha walimu mchango wa mwenge limekuwa endelevu Kwa sababu Kila mwaka walimu wanakuwa wakichangia Kwa kulazimisha.
Mbaya zaidi Kila mwaka fedha inakuwa ikiongezeka mfanonkutoka sh. 2000 kwenda sh. 5000. Hapa walimu wanatakiwa kujua nini Kilichosababisha ongezeko hilo.
Hii siyo sawa Kwa walimu kuchangishwa fedha.
Subiri nikuitie Mpwayungu VillageMpwayungu village njoo huku,sasa naanza kumuelewa jamaa kwamba walimu hawajitambui wanahitaji kukombolewa