Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Na ni vizuri pia kuiga jambo zuri.Tunapaswa tupongeze kwa mema na sio kuonesha mshangao kama mtoa mada unavyoashiria kupitia post yako
Je kuna ubaya kwa RC kumobilose utoaji wa huduma za Afya???
Jambo jema lipongezwe, na liwe chachu kwa wengine kujitoa kwa ajili ya kuigusa jamii
Yawezekana huna uelewa wowote kuhusiana na masuala ya tiba. Tiba kamwe haiwezi kutolewa kwa mtindo wa makambi.Mleta mada tatizo lako nini hapo. Hebu tufiche upuuzi tafadhali
Wewe kodi unalipa? Nakufuatilia ujue.Huu ni ujinga, Serikali iwekeze kwenye Huduma za afya iache kugeuza huduma za afya kuwa siasa, hapo naona siasa tupu
Ninazijuwa hizi kambi nilikuwa kwenye sekta. Wewe kama ni mnufaika nenda tu kakinge hizo posho, lakini hakuna tija yeyote zaidi ya kuonyesha udhaifu wa mfumo wa tiba nchini.je unamhukumu RC kukurupuka kwa hoja ya udhani kama kambi yao ya matibabu itakuwa na package kamili? je vipi ikiwa dhana yako si kweli? Tafuta taarifa sahihi na za uhakika kisha toa hukumu.
Punguza chuki kuna ubaya gani watu wakifanyiwa full body check up ambayo asingeweza fanya kwenye hospital kubwa sababu hana pesa au bima?Ninazijuwa hizi kambi nilikuwa kwenye sekta. Wewe kama ni mnufaika nenda tu kakinge hizo posho, lakini hakuna tija yeyote zaidi ya kuonyesha udhaifu wa mfumo wa tiba nchini.
Worse enough ina CRIPPLE huduma za tiba kule ambako watoa huduma wanatolewa kwenda kwenye kambi.
acha ujinga wew 😂
Unazungumzia bima za NHIF?Punguza chuki kuna ubaya gani watu wakifanyiwa full body check up ambayo asingeweza fanya kwenye hospital kubwa sababu hana pesa au bima?
Kingine kuna madaktari Bingwa kutoka nje na ndani, kama tatizo ni kubwa si obvious wanaku recommend kwenye hospitali zao ukawaone at a reduced cost kuliko ungekosa kabisa daktari kisa hauna pesa au bima!!
Ni initiative nzuri so tupunguze chuki za kisiasa
Hongereni wasabato wa idodomyaacha ujinga wew 😂
dodoma nilikwambia sijiHongereni wasabato wa idodomya
Sijakuita, baki kwenye mada pokea pongezi.dodoma nilikwambia siji
Huo ndiyo udhaifu wa mfumo wa afya wa Serikali. Najuwa wewe una akili hebu jaribu kufikiria "outside the box", utaelewa hoja yangu.Punguza chuki kuna ubaya gani watu wakifanyiwa full body check up ambayo asingeweza fanya kwenye hospital kubwa sababu hana pesa au bima?
Kingine kuna madaktari Bingwa kutoka nje na ndani, kama tatizo ni kubwa si obvious wanaku recommend kwenye hospitali zao ukawaone at a reduced cost kuliko ungekosa kabisa daktari kisa hauna pesa au bima!!
Ni initiative nzuri so tupunguze chuki za kisiasa
Asante Mkuu kwa kuliona pia. Ila watu wanashangilia UJINGA kwa vile hawajui namna wanasiasa wanatafuta popularity.Hizi ni SIASA tu
Wangekua specific kwamba kutakua na clinic ya bure ya kuonana na kupata ushauri wa kitabibu kutoka kwa madaktari bingwa na check up
Matatibabu ya kibingwa ni full package inayo husisha vipimo kama ct scan, mri nk nk kisha tiba...... na unapo ongelea tiba ina maanisha vitu kama upasuaji mkubwa na mdogo, upandikizaji viungo, radiation/chemotherapy nk nk
Hivi vitu kwa nmana yoyote ile haviwezi kupatikana kwenye kambi ya siku 3
Labda exposure ya kimataifa hunaHuo ndiyo udhaifu wa mfumo wa afya wa Serikali. Najuwa wewe una akili hebu jaribu kufikiria "outside the box", utaelewa hoja yangu.
Kwa nini hawa watu wasipate hiyo huduma kwenye mfumo unao exist?
Sio hao wa Tanzania wao ni sabato masalia dini yao iko KyelaSeventh day Adventist REFORMS si ndio wale wasabato wenye msimamo mkali..wale wa kwenda airport, vyakula vingi hawali na matibabu hawataki...imekuwaje? Maana Hawa sio Hawa wasabato wa kawaida walio wengi na makanisa
Naunga mkono hii hoja yakoHata Yesu alilisha watu 5000 na bado wakamuua. Kwahiyo watu kama mleta mada hawawezi ona jema lolote hata wafanyiwe nini. Kama umeumia kanunue sumu unywe upate raha ya nafsi.