Tatizo la kucopy na kupaste, Wasabato na matibabu ya Bure kupitia Mkuu wa Mkoa wapi na wapi?

Pima hizo uwezo wa nchi hizo kiuchumi kwanza na kimifumo ya afya. Mfano ni ile meli ya kutoka China inayotarajia kuja Dar Port na huduma za tiba, tayari China ni nchi kubwa kiuchumi

Hospitali za Tanzania hazina dawa na vifaa tiba vya kutosha, hazina watumishi wa kada mbalimbali za afya, bima ya afya nayo chenga chenga halafu mtu anakuambia wanakwenda kuweka kambi ya tiba!! Huoni contradiction hapo

Huko shuleni mlikwenda kusoma nini? Ujinga mtupu kama huoni kasoro hapa
 
Unazungumzia bima za NHIF?
Hio si ni kama huna bima tu
Ndio point yangu kama hata hiyo bima ya NHIF haina msaada hatuoni kwamba uwepo wa kambi kama hizi ni mkombozi wa wengi? Nani ana pesa ya kwenda kufanya screening ya saratani?
 
Ndio point yangu kama hata hiyo bima ya NHIF haina msaada hatuoni kwamba uwepo wa kambi kama hizi ni mkombozi wa wengi? Nani ana pesa ya kwenda kufanya screening ya saratani?
Mbona mkuu uneamua kujizima data namna hii leo? Kwani hiyo gharama ya kambi ukiichukua unaweza kulipia package ya Toto Afya Kadi ngapi na ukaokoa maisha ya watoto kwa mwaka kuliko kwenda kufanya show off kwenye medical camp ya Dodoma?
 
Kitu kama ni kizuri, kikopiwe tu ili watu wengi zaidi wanufaike
 
Mbona mkuu uneamua kujizima data namna hii leo? Kwani hiyo gharama ya kambi ukiichukua unaweza kulipia package ya Toto Afya Kadi ngapi na ukaokoa maisha ya watoto kwa mwaka kuliko kwenda kufanya show off kwenye medical camp ya Dodoma?
Hizo pesa sio za serikali ni za private sector, ni lini hospitali binafsi zimekosa pesa ya kuendesha matibabu kwenye vituo vyao?

Sasa sielewi kwanini unalazimisha kuwa kambi ni pesa ya serikali!!
 
Hizo pesa sio za serikali ni za private sector, ni lini hospitali binafsi zimekosa pesa ya kuendesha matibabu kwenye vituo vyao?

Sasa sielewi kwanini unalazimisha kuwa kambi ni pesa ya serikali!!
There's no free lunch in business youngman. The private sector that is giving today for free, knows how it will be repaid in future through corruption
 
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…