Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Pima hizo uwezo wa nchi hizo kiuchumi kwanza na kimifumo ya afya. Mfano ni ile meli ya kutoka China inayotarajia kuja Dar Port na huduma za tiba, tayari China ni nchi kubwa kiuchumiLabda exposure ya kimataifa huna
Kambi za matibabu pote duniani hufanyika kama sehemu ya social service
Kuna mamilioni ya wahudumu wa afya husafiri duniani kote wakitoa huduma bure kwa jamii.Wasisoweza hutoa referral mtu aende hospitali za juu
Hata mitaami mfano wakati mwingine hupita na kliniki za macho ukionekana unahitaji miwani wanakupima na kukupa bure
Wewe mchawi hutaki watu wapate huduma bure unataka wafe kama pesa au bina ya afya hawana
Mwanga mkubwa wewe
Hospitali za Tanzania hazina dawa na vifaa tiba vya kutosha, hazina watumishi wa kada mbalimbali za afya, bima ya afya nayo chenga chenga halafu mtu anakuambia wanakwenda kuweka kambi ya tiba!! Huoni contradiction hapo
Huko shuleni mlikwenda kusoma nini? Ujinga mtupu kama huoni kasoro hapa