yeka
Member
- Feb 14, 2017
- 47
- 29
Kwenu wana jamvi, nina rafiki yangu au tuseme ni ndugu yangu amekuwa na tatizo la mda mrefu la kudumu la nguvu za kiume, na yeye kikubwa kinachomkuta ni kufika kilelen chini ya dk 1 mda mwingne hata akirudia round ya pili na zingne hua hivo hivo acha hilo kuna lingine dushe haiwez mda mwingine inaweza kata mawasiliano kabla hata haijaingia ktk kitumbua, au inaweza kata mawasiliano ikiwa ndan ya kitumbua.
Nawasilisha kwenu, wasalam.
Nawasilisha kwenu, wasalam.