Tatizo la kudumu la nguvu la kiume

Tatizo la kudumu la nguvu la kiume

yeka

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
47
Reaction score
29
Kwenu wana jamvi, nina rafiki yangu au tuseme ni ndugu yangu amekuwa na tatizo la mda mrefu la kudumu la nguvu za kiume, na yeye kikubwa kinachomkuta ni kufika kilelen chini ya dk 1 mda mwingne hata akirudia round ya pili na zingne hua hivo hivo acha hilo kuna lingine dushe haiwez mda mwingine inaweza kata mawasiliano kabla hata haijaingia ktk kitumbua, au inaweza kata mawasiliano ikiwa ndan ya kitumbua.
Nawasilisha kwenu, wasalam.
 
Cha kwanza kuchunguza ni akili yake na saikolojia yake, vipo sawa?
 
Back
Top Bottom