Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
Pole sana mkuu niliwahi kupitia hiyo kitu na nikadhani nina shida kama wewe ila nilikuja kugundua kuwa ilikuwa ni matokeo ya kuwa na vitu vingi na malengo makubwa sasa kuna kipindi mambo yanakuwa kama yanataka kugoma hivi na hapo ndio huwa inazidi hii hali mpaka kukosa usingizi saa nyingine ikiambatana na kupoteza furaha na kuamka umechoka sana,yaweza pelekea kukata hamu ya kula pia (aneroxia nevosa??!!!)huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
Hujatuambia wewe ni Muislam au Mkristo ? una miaka mingapi? Mume au Mke? umeowa au umeolewa? unalala peke yako au unalala na mke au mume wako ? jibu kwanza haya ndio tutakwambia cha kufanyahuwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
MziziMkavu hebu nieleze tatizo la kuongea usiku maana mie nowadys naongea sana kwa hasira na kutukana kwa sauti kubwa hasa...Hujatuambia wewe ni Muislam au Mkristo ? una miaka mingapi? Mume au Mke? umeowa au umeolewa? unalala peke yako au unalala na mke au mume wako ? jibu kwanza haya ndio tutakwambia cha kufanya
Tatizo la kuongea usiku huenda ni uchovu wa mwili au aina ya karnil na kupigana usiku ukiwa usingizini ni subiani.MziziMkavu hebu nieleze tatizo la kuongea usiku maana mie nowadys naongea sana kwa hasira na kutukana kwa sauti kubwa hasa...
MziziMkavu hebu nieleze tatizo la kuongea usiku maana mie nowadys naongea sana kwa hasira na kutukana kwa sauti kubwa hasa...
Hii kitu hunitokezea na mm ila ni kwa siku ambazo hua nimechoka sana na kazi.. na maneno ambayo hua nayaongea yanatokana na kazi husika..ila mwenyewe hua sigundui hii kitu ninapoamka nikiambiwa hushangaa sana lkn story hufanana
Mie naota nagombana sana na ndugu zangu mara kwa mara tena juzi nimetukana kwa nguvu hadi kuamshwa na machozi yalikua yanatoka.....wacha nichunguze hii hali...