Tatizo la kuhangaika wakati nimelala

Tatizo la kuhangaika wakati nimelala

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
 
wahi mapema kabisa kabla hujaokota makopo hongera kwa kulijua mapema
 
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
Pole sana mkuu niliwahi kupitia hiyo kitu na nikadhani nina shida kama wewe ila nilikuja kugundua kuwa ilikuwa ni matokeo ya kuwa na vitu vingi na malengo makubwa sasa kuna kipindi mambo yanakuwa kama yanataka kugoma hivi na hapo ndio huwa inazidi hii hali mpaka kukosa usingizi saa nyingine ikiambatana na kupoteza furaha na kuamka umechoka sana,yaweza pelekea kukata hamu ya kula pia (aneroxia nevosa??!!!)

Jaribu kuoanga mambo kwa wakati na kufanya mambo machache kwa wakati,ni vizuri kuwa na malengo makubwa na mengi lakini pia ni muhimu kukubali yanayowezekana na yatayosubiri!!!!!

Ukiweza kuandika ya siku hiyo na kuweza kuyatimiza automatically unapata satisfaction na relief ambayo inakupelekea kwenye psychological relaxation so ukienda kulala unakuwa umeridhika na kuona kuwa umefanikisha malengo ya siku hiyo so itapungua na mwisho utakuta umeweza kufanya mengi na kadhalika hali ya kujilaumu na tension inaisha kabisa!!!!!

Usikubali dawa za usingizi wala vileo,kubadili maisha like kukaa bar,lounge au clubs ni kuongeza msongo mpya na kubadili life style kuna gharama zake pia!!!!

They say dont bite what you cant chew!!!!!!

Omba kwa muumba wako pia akufanyie wepesi katika haja zako kwa yenye heri nawe duniani na kesho akhera sababu yeye anajua zaidi!!!!
 
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?

Kunywa maji katika joto la kawaida (room temperature) vikombe 2 kila unapoenda kulala kwa muda wa wiki 2 halafu uje unipe maendeleo.
 
asante mkuu nimekuelewa sana ntazingatia ushauri wakooo
 
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
Hujatuambia wewe ni Muislam au Mkristo ? una miaka mingapi? Mume au Mke? umeowa au umeolewa? unalala peke yako au unalala na mke au mume wako ? jibu kwanza haya ndio tutakwambia cha kufanya
 
MziziMkavu hebu nieleze tatizo la kuongea usiku maana mie nowadys naongea sana kwa hasira na kutukana kwa sauti kubwa hasa...
 
Last edited by a moderator:
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
Popobawa
tumblr_mso169sir61rrpvcmo1_400.jpg
 
Leo nimeota naendesha kifaru lakini namkimbia jamaa yuko kwa mguu lakini yuko beneti kila nikiweka speed,kukata kona ili nimwache ama nimpoteze yupo tu.manake nini?
 
MziziMkavu hebu nieleze tatizo la kuongea usiku maana mie nowadys naongea sana kwa hasira na kutukana kwa sauti kubwa hasa...

Hii kitu hunitokezea na mm ila ni kwa siku ambazo hua nimechoka sana na kazi.. na maneno ambayo hua nayaongea yanatokana na kazi husika..ila mwenyewe hua sigundui hii kitu ninapoamka nikiambiwa hushangaa sana lkn story hufanana
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu hunitokezea na mm ila ni kwa siku ambazo hua nimechoka sana na kazi.. na maneno ambayo hua nayaongea yanatokana na kazi husika..ila mwenyewe hua sigundui hii kitu ninapoamka nikiambiwa hushangaa sana lkn story hufanana

Mie naota nagombana sana na ndugu zangu mara kwa mara tena juzi nimetukana kwa nguvu hadi kuamshwa na machozi yalikua yanatoka.....wacha nichunguze hii hali...
 
Chunguza ila pia tusisahau kusoma dua kabla kulala.
 
Ilintokea nikiwa mdogo ..nadhan ni kutokana na kufanya shughul nying sana ...hata michezo muda mrefu unalala too tired
 
Itakuwa unapakia misosi 'heavy' sana usiku, jaribu kupata msosi 'light' afu urudi kusimulia hapa
 
Back
Top Bottom