Mkuu hata mbu si wanapitia hapo? Yaani hizi aluminium sliding windows naona ni fashion ambayo kwa majiji ya joto hazifai. Nikipata suluhisho la mbu kuingia kupitia madirishani nitafurahi sana.Silicone umeweka wapi? Maana hilo tatizo nahisi maji yanaingilia kwenye njia za vioo, na kwenye upenyo unaotenganisha kioo na kioo, hata mijusi ndio inapopitia, hapo huwezi kuziba na silicone
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp ule waya wa umbu ambao umetengezwa na dirishaNikipata suluhisho la mbu kuingia kupitia madirishani nitafurahi sana.
Mkuu huwa kuna rubber fulani ambayo ni seal huwekwa hapo katikati ya kioo na kioo tembelea kwa mafundi wa aluminum utapata.Mkuu hata mbu si wanapitia hapo? Yaani hizi aluminium sliding windows naona ni fashion ambayo kwa majiji ya joto hazifai. Nikipata suluhisho la mbu kuingia kupitia madirishani nitafurahi sana.
Mkuu fafanua zaidi tuelimikeKiongozi
Hao Mafundi Wako Wanatakiwa Wayakate Huo Upande Unakaa Sambamba Na Ukuta Ili Mvua Ikinyesha Yanatiririka Kwenye Ukuta Kwa Nje
Idadi Kubwa Sana Ya Watu Hupatwa Hiyo Shida
Kuna Mafundi Wanachukua Kisu Huo Upande Unaokaa Sambamba Na Ukuta Ukatwa Ingawa Hutaweza Kuona Kiurahisi Sasa Mvua Ikija Maji Yake Hutiririka Hapo Hadi Ukutani
Haya madirisha ni mazuri machoni lakini yanaruhusu mbu kupita, ni namna gani tunaweza kuthidbiti mbu wasipite?
Binafsi sioni hata ubora wake hasa kwenye kuzuia mbu, yanaonekana mazuri kwa kutizama lakini hayafai kwa maeneo yenye joto kama mikoa ya pwani. Haya madirisha yanafaa huko kwenye baridi, lakini pia sio suluhisho la mbu.Nina tatizo kama lako. Nimeshapiga dawa kwenye hizo wavu lakini hamna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna zile ambazo zina steps kwa chini ndiyo suluhisho zile nyingine ni majanga matupu mvua ikinyesha maji yanatuhama moja kwa mojaNIna tatizo linanisumbua la kuingiza maji ndani kupitia madirisha ya Aluminium
Mvua kidogo tuu ikinyesha maji mengi yanaingia ndani, tumejaribu kujaza silicon lakini haikusaidia, naomba mwenye kujua suluhisho la hili tatizo, au kama kunafundi unamjua naomba tuwasiliane
View attachment 1008725
Kuna zile ambazo zina steps kwa chini ndiyo suluhisho zile nyingine ni majanga matupu mvua ikinyesha maji yanatuhama moja kwa moja
Nikifika home huko Bushi nitapiga picha halafu nitarusha hapa, kunakuwa na steps kwa chini pale hivyo maji yanatoa njeZipi hizo unaweza weka picha?
Nitashukuru mkuu, tutakuwa tumesole tatizo la maji bado mbuNikifika home huko Bushi nitapiga picha halafu nitarusha hapa, kunakuwa na steps kwa chini pale hivyo maji yanatoa nje