Tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu

Raphael gadau

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,006
Reaction score
306
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
 
Umepima HIV?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
Pole sana, hili linaweza kumtokea yeyote na sababu zipo nyingi na hutofautiana kutoka mtu mmoja mpaka mwingine.

Kaa karibu na Mungu, naamini Yeye ndiye "Faraja ya kweli."
 
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
wewe ni ME au KE maana hizo nitabia za KE hasa katika kipindi mzunguko wa hedhi
 
Pima HIV then kama ni negative nenda kwa psychological Dr.
 
Tatizo lako ni
1. Kazi/kipato na ukitumie vizuri, ili uwe unapata mahitaji yako.
2. Tafuta girlfriend uwe unashiriki tendo ulidhike na umridhishe mpenzi wako.

Yote yataisha mkuu.
 
Pia kajaribu kupima uweze kujua kama huna michubuko tumboni
 
Tatizo lako ni
1. Kazi/kipato na ukitumie vizuri, ili uwe unapata mahitaji yako.
2. Tafuta girlfriend uwe unashiriki tendo ulidhike na umridhishe mpenzi wako.

Yote yataisha mkuu.
Umeongea point ila kwenye kazi hapo sijakuelewa mkuuu nina kazi au sina kazi
 
Back
Top Bottom