BABA NETHA
Member
- Dec 23, 2017
- 5
- 1
Kama unafamilia angalia namna unavyoindesha ukilinganisha na kipato chako, maana kama kipato kidogo, ukiambiwa matumizi yameisha ukicheki mfukoni hamna chochote hapo hasira hazikwepeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda hospitali kwa daktari bingwa wa magonjwa ya akili utapata majibu sahihi.Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.