Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,006
- 306
Dah jf ina wenyeweUmepima HIV mkuu nayo ni dalili
Umepima HIV?Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
serious?Pia jaribu kupima minyoo. Safura huvuruga sana nerves za wanadamu
Pole sana, hili linaweza kumtokea yeyote na sababu zipo nyingi na hutofautiana kutoka mtu mmoja mpaka mwingine.Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
wewe ni ME au KE maana hizo nitabia za KE hasa katika kipindi mzunguko wa hedhiKama kichwa kinavyoeleza hapo juu,nina tatizo la kukasirika mara kwa mara bila sababu yeyote naombeni ushauri inafikia muda hadi nafsi yangu inanisuta kiufupi hili tatizo linaniumiza sana. Kama kuna anae ijua dawa ya hili tatizo naomba msaada.
Me[emoji2]wewe ni ME au KE maana hizo nitabia za KE hasa katika kipindi mzunguko wa hedhi
Umeongea point ila kwenye kazi hapo sijakuelewa mkuuu nina kazi au sina kaziTatizo lako ni
1. Kazi/kipato na ukitumie vizuri, ili uwe unapata mahitaji yako.
2. Tafuta girlfriend uwe unashiriki tendo ulidhike na umridhishe mpenzi wako.
Yote yataisha mkuu.
Kama hauna kazi, basi tafuta hata ya kukuingizia kipato kidogo ili uwe unajitimizia mahitaji madogomadogo.Umeongea point ila kwenye kazi hapo sijakuelewa mkuuu nina kazi au sina kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu unashiriki ngono salama na kuridhika kabisa? Maana nyege nazo huwa ni tatizo.