Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k
Ila Wilaya yetu wanakata sana umeme na kusababisha mzunguko wa pesa kudorora.