Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TANESCO hivi mna nin lakini yani kwa week mnakata umeme mara usiku mara mbili mchana mara mbili au Moja.Hadi sasa sijaona barua rasmi kutoka TANESCO ya kuomba radhi au kutoa sababu za kukosekana kwa umeme kwa muda wa siku nzima katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya UBUNGO hapo jana tarehe 20 January, 2023.
TANESCO