Hadi sasa sijaona barua rasmi kutoka TANESCO ya kuomba radhi au kutoa sababu za kukosekana kwa umeme kwa muda wa siku nzima katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya UBUNGO hapo jana tarehe 20 January, 2023. TANESCO

TANESCO hivi mna nin lakini yani kwa week mnakata umeme mara usiku mara mbili mchana mara mbili au Moja.
Mbona mnakwaza kias hiki aiseh huyo January Makamba hua anaenda na switch nyumbani kwake ety eeeh.
Huu umekua upuuzi ulopindukia.