Tatizo la kukohoa nikiwa kifua wazi au kunywa maji ya baridi

Mparee Halisi

Senior Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
104
Reaction score
8
Habari wana JF,

Nina tatizo la kukohoa sana kila tu nikinywa maji ya baridi au kuacha kifua wazi.

Nifanye nini wandugu, nashukuru sana kwa mawazo yenu chanya.
 
Jembe nilishacheck vpimo vya ngoma nipo Ok,nilipima kifua pia sikuonekana tatizo nikaambiwa inaweza ikawa Alergy
 
kinga ni rahisi sana coz umejua tatizo linaanzia wapi,usinywe maji ya baridi wala usiache kifua wazi
 
Kinga yako ni kuzuia Ivo vitendo kutokunywamaji ya barid na kutoka kifua wazi
Inawezekana una allergies kama walivyosema wataalam
 
Ninachokiona sell zako haziko sawa karibu kwetu sisi tutakupa huduma ya kukufanya sell zikae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…