Kupasuka kwa mshono kungeoneka huko HOSPITAL kama muliwapa madaktar maelezo ya kutosha juu ya hali hiyo na upasuaji pia, ila nashauli muende tena hospital kucheck tena maana yaonyesha si tatizo dogo, japo wamempatia hizo dawa ila kama metronidazole huwa kukausha kidonda na kuu baktelia katika kidonda so uenda wamegundua kuna michubuko fulan