Tatizo la kukojoa damu.

Tatizo la kukojoa damu.

MR. MORRIS T. J.

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
1,167
Reaction score
403
Nini Chanzo Cha Tatizo? Anakojoa Mkojo Kisha Inafuata Dumu Tupu Mzito,maumivu Anayapata Chini Ya Uume Anapomariza Kukojoa Damu,mkojo,haja Ndogo Na Damu Alipimwa Tmj Hosp Havijaonesha Tatizo Lolote. Mwananyamala Hawakumpima Ila Wamempa Sindano Za Sk 7 Mbili Kwa Kutwa Za Powercefu Na Vidonge Vya metronidazole Na Za Kupunguza Maumivu.Kwenye Korodani Alifanyiwa Upasuaji Miaka Kumi Na Tano Imepita.Au Mshono Umepasuka?
 
Kupasuka kwa mshono kungeoneka huko HOSPITAL kama muliwapa madaktar maelezo ya kutosha juu ya hali hiyo na upasuaji pia, ila nashauli muende tena hospital kucheck tena maana yaonyesha si tatizo dogo, japo wamempatia hizo dawa ila kama metronidazole huwa kukausha kidonda na kuu baktelia katika kidonda so uenda wamegundua kuna michubuko fulan……
 
Walichukua Damu Kwenye Mkono,mkojo Na Haja Kubwa Hawakubaini Tatizo, Labda Ex Ray Akapigwe?
 
Back
Top Bottom