tatizo la kukojowa haraka

tatizo la kukojowa haraka

taupe

Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
5
Reaction score
0
ninikusababisha mume kukojowa haraka? Nanini afanye ili asikojowe haraka
 
Watu wa namna hiyo tunawaita vikojozi.Tatizo hilo huwa lipo kwa baadhi ya watu na ni la kuzaliwa nalo.Kuna wanaume wengine wana tatizo la kuchelewa kupata bao.Google utapata ufumbuzi wa tatizo lake ingawa inahitaji uvumilivu kidogo mpaka liishe.
 
a pige zoezi la kuotosha....practice makes perfect!
 
Back
Top Bottom