That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Kwa maelezo zaidi njoo PM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fata nyuki, ule asali.Duh, Metformin kweli?????!!!! kwani huyu ni mgojwa wa sukari?! Huyo hahitaji dawa, ni saikolojia tu
Mkuu nimekuja inbox kwako sikupati, naomba tuonaneIliwahi kunitokea hii hali.
Namchezea wife nataka kupeleka moto tu jamaa anazima ghafla.
Kula matopetope, ukiyapata yale ya pori ndio dili zaidi au tafuta huu mti chini. Siujui kwa jina ila Mundende inasuburi.
Tengeneza unga kwa majani yake tia kwenye chai, uji au maji. Jamaa atanenepa, atakuwa imara.
Hii miti iko sehemu nyingi tu hapa nchini
View attachment 1885960
Ok. Ngoja nije MimiMkuu nimekuja inbox kwako sikupati, naomba tuonane
Tatizo hili lipo hata kwangu ila mm huwa najitahidi tu pale mechi inapoanza kabla ya goli langu najibana mapka wife afikie kilele Kisha mm namalizia kiulainiiiii, mm goli Moja tu nmekwisha hauwa najivuna kwa KUWA wife kashafika safari yake, hata uume ukilala spati shida, Moja wakati WA kulala na Moja asbh kiroho safi tunaenjoy life kwa namna ile.