Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

kuwa period ina makasheshe yake kwa mwanamke..ila ukiikosa dah unaimissije? hata mimi nimepitiliza sijui kwanini..ila nimechange mazingira jumlisha stress dah .natamani niivute

Hivi kumbe huwa kuna muda mnaimiss!?? i never knew this...
 
kuwa period ina makasheshe yake kwa mwanamke..ila ukiikosa dah unaimissije? hata mimi nimepitiliza sijui kwanini..ila nimechange mazingira jumlisha stress dah .natamani niivute

Smile acha hayoooo mambo! hatari unaonaje kwenda haja kubwaaaa hata aibu mbele za watu! assume umeikosa per week! unamisiji kwenda toilet sometime full kujikamua lakini wapi!!!!

Tusaidiane jamani....,,!!!! kitaalum, kimawazo,, kishauri...!

Thanks all.
 
Kama upo Dar es salaam nenda pale ilala bungoni kwa dr Mwaka ataweza kukusaidieni
 
mm nilikuwa mmoja wa watu wenye tatizo hilo na sasa niko fit kabisa baada ya kupata tiba mbadala. kwanza anatakiwa kujua sababu hasa ni nini mpaka anakosa cku zake? inaweza kuwa ni unene, maybe aliwahi kuzaa baada ya hapo ikapotea toka alivyojifungua, pia hili si tatizo dogo kiukweli ni tatizo kubwa sana amablo linaweza kusababisha kukosa watoto, pia yawezekana mirija imeziba etc, kwa ushauri zaidi ni pm nikuelekeze mpaka hospital niliyoenda etc
 
Dr. Mzizi mkavu
Mke wangu nilimpeleka akafanyiwa utrasound akaandikiwa
Both-ovaries are daileted
lkn sehemu zingine zote za uzazi ni nomal na kwa tatzo hilo hawezi ku concive
je dawa ni nini? Hiyo 1,

2, mimi nilitaka kufanya kipimo Sperm test baada ya dr kuhitaji maelezo kwang kwann nafanya hivyo na mimi sikuifanyia hiana hiyo nafasi nilitoa matatizo ka 100 kidogo
akanishauri nifanye kipimo hiki
FBP kweli matatizo yalikuwepo
RBC zilikuwa yaani abnomal
WBC pia na zenyewe hivyo hivyo
PLT ninachokumbuka hapa mimi
nilikuwa 34 abnomal badala kuwa 150-500 nomal
sasa nimejitahidi kupata dawa sasa kila kitu kipo Nomal!
Swali ni
Je! Kipimo cha FBP matatzo yote ya uzazi(sperms) yamekwisha?
Au ni vyema nikafanye nilichodhamilia(sperm test) ???
 
Last edited by a moderator:
nenda tu kwa dokta wa wanawake
 
mzizimkavu dawa zako kiboko.manemane ndio dawa gani hiyo?ndio kwanza naisikia humu
 

thanks Pearl!

Nimeku Pm nasubiri bimdada!

nashukuru kwa maushari nahisi kama keshapona vile......! kizuri gawna na wenzio,,, thanks kwa vizuri mnavotoa! Mungu awabariki!!

matatizo hayafichwi! je fedha c ndo balaaa,, c jui utaficha wapi angani?
 
Kuna gyane wazuri wengi tu. Aghakhan yuko Shaffiq. Tmj kuna kadada kahindi kako fit, regency yuko Anna Purna , nae ni kamamaa ka kahindi. Sanitaz mikocheni, pale baraka plaza kuna dr nyasinde anaepatikana muhimbili pia asubuhi ila foleni yake huko siijui. Hapo namanga kuna dr mzee hivi ana maria clinic anaitwa prof mgaya (mi natakaga dr handsome and young kama MziziMkavu sasa utachuja mwenyewe).
 
Last edited by a moderator:
Full blood picture (fbp) haitakuonyesha matatizo ya uzazi per ce. Lakini itaonyesha kama una chronic infection. Kwa nini unataka kufanya sperm test (i bet ni sperm count?) bila kushauriwa na dr?. Ushauri wangu ni uonane na urologist, umueleze wasiwasi wako na atakushauri cha kufanya. Naweza kukupa number ya mmoja mzuri labda atakusaidia but yupo aghakhan dsm.

Kuhusu mkeo, pengine gynaecologist atawaelekeza kitakachosaidia. Usisahau uwezo wa madaktari una limit yake lakini yupo aliewaumba. Kumbuka na sala pia. gody,
 
Last edited by a moderator:

thanks pearl!

ubarikiwe.
 

Nashukuru Mpendwa kwa sasa nipo Dom
ila kwa huyu Dr wangu mi sjui ni
hana limit(unlimited)
alikaa na mama,mke wangu na
mwisho wa siku mimi tena na mim ni mara kwa mara akikaa na mgonjwa yupo radhi kukufundisha(kwa mifano) na anakusikiliza vizur nawakati mwingine anakuandikia mipimo
nenda agakhan au anywhere kama vitakuwa tofauti sibahatishi!,..
Ndio maana hata kwangu alianza alinipa mda kueleza why nataka
hiyo s.test baada ya maelezo akaanza na Fbp na ndio maana akakuta matatizo kibao!
Ndio maana kupitia uzi huu nilitaka kujua diff ya Fbp na s.count kabla sjaenda kwa dr. kufanya nilichodhamilia. Nashukuru King'asti umenijb
ntaenda kwa @Dr tena!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha,true
 
Kweli kabisa..
kuwa period ina makasheshe yake kwa mwanamke..ila ukiikosa dah unaimissije? hata mimi nimepitiliza sijui kwanini..ila nimechange mazingira jumlisha stress dah .natamani niivute
 
Weewe...kumbee..sasa if mtu hajawahi kupata mtoto? Yani bado ni bint af anavukisha..!
 
Ushauri mzuri..me love this..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…