Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiti ndo kimesababisha asipate hedhi,ajiandae kunenepeana na kitambi juu
Alafu naskia vinatia njaa hatari yaani walioweka wanakula sana sijui ni kweli
Kama anatumia njia za uzazi wa mpango huendo ndo sababu hapati hedhi maana smtms njia za uzazi wa mpango husababisha mwanamke asipate hedhi.pili huenda pia ni mimba japo unasema amepima hana ila smtnms mimba inaweza isionekane,
uzazi wa mpango hatumii na suala la mimba jana ndio kapima safari ya tatu lakini hakuna kitu mkuu
Basi ni vyema mkamuone doctor wa wanawake kwa uchunguzi zaidi
Naombeni msaada wenu ndugu zanguni.
Mke wangu ni mwezi wa pili sasa haoni siku zake ( hedhi ).
Amepima mimba ndani ya miezi hiyo miwili mara tatu lakini hakuna kitu. Mwenye kujua juu ya hili nawakaribisha kwa ushauri zaidi ndugu zanguni.