Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata ufumbuzi tuambie na wengine tunateseka.clinic blah blah tu!
Duh! Naona mlioambukizwa mimba mko wengi! Hongereni lakini. Unajua hakuna kipindi kigumu kwenye utoaji wa dawa kama mwanamke akiwa mjamzito. Unapofikiria kutoa dawa unafikiria kwanza kiumbe aliyepo ndani na unakuja kulinganisha na tatizo la mama. Nyie mnapoenda hospitali huwa mnafikiria tu kupewa dawa hata kwenye matatizo yasiyohitaji dawa! Hakuna dawa ya kutibu tatizo la kukosa usingizi zaidi ya kuondokana na kile kinachokukôsesha huo usingizi. Wewe kukosa usingizi hakuleti madhara yoyote kwa mtoto kama hizo dawa mnazotaka muwe mnapewa kila siku. Keep yourself busy in day time and sleep during night. Kama unalala sana mchana kwa kuwa ni mjamzito ni lazima usiku ukose usingizi.
Kwanza hongera mkuu naomba nikuulize swali mama hiyo mimba ni ya ngapi?
Mimi hali hyo ilinitokea mwanzo mimba ikiwa na miezi mitatu,nilienda hospital,kuna vidonge nilipatiwa vya kunisaidia kupata ucngizi pia wakashauri nisilale mchana,nilijikuta tatizo limeisha bila kujua,akienda clinic awaeleze watampatia tiba na ushauri coz hyo hali inatesa aiseeee
Dawa zote za usingizi zinaweza kuwa na athari kwa mtoto nazo ni benzodiazepines!!Kwahio atumie technique nyingine tu ili alale usiku mfano auchoshe mwili atembee mchana,aende yoga n.k,Kipindi hicho ni cha mpito tu it will be over soon!
kwa hiyo hesabu zako bado ni za kUONGEZA tuahsante....nakamilisha hesabu zangu ....
Hahaaa kumbe hzi hali tulizonazo tunaambukizwa?kijidudu gani hiko kinachoambukiza?asante kwa ushauri tatizo si kulala mchana niko busy sana sema pozi za kulala ndio zimeisha hasa kwa sisi tuliozoea kulalia tumbo.
Ha,ha,ha. Just a joke! Hongereni na Mungu awazidishie uvumilivu. Unajua kwa mtu asiyekuwa vizuri anaweza kukushauri utumie dawa za usingizi kumbe ni kumuongezea shida za ulevi mtoto. Unless uniambie kuna uambukizo ambao unasababisha unakosa usingizi ambao ni lazima utibiwe kwani utaleta shida kwa mtoto pia. Otherwise ni kuvumilia na kutafuta pozi zuri. Mungu akubariki tena, ikiwezekana wawe mapacha.!!
Dawa zote za usingizi zinaweza kuwa na athari kwa mtoto nazo ni benzodiazepines!!Kwahio atumie technique nyingine tu ili alale usiku mfano auchoshe mwili atembee mchana,aende yoga n.k,Kipindi hicho ni cha mpito tu it will be over soon!